Dordrecht

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Dordrecht


Dordrecht

Bendera
Dordrecht is located in Uholanzi
Dordrecht
Dordrecht

Mahali pa mji wa Dordrecht katika Uholanzi

Majiranukta: 51°48′0″N 4°40′0″E / 51.80000°N 4.66667°E / 51.80000; 4.66667
Nchi Uholanzi
Mkoa Zuid-Holland
Idadi ya wakazi (2008)
 - Wakazi kwa ujumla 118,250
Tovuti:  dordrecht.nl

Dordrecht ni mji wa mkoa wa Zuid-Holland nchini Uholanzi. Mji ulianzishwa 1120. Idadi ya wakazi wake ni takriban 118,250.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uholanzi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Dordrecht kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.