Dorcus Acen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dorcus Acen
Nchi Bendera ya Uganda Uganda
Majina mengine Dorcus Acen
Kazi yake Mwanasiasa

Dorcus Acen (anajulikana kama Dorcas Acen ni mwanasiasa wa Uganda na mwakilishi wa wanawake wa wilaya ya Alebtong kwenye bunge la kumi na moja la nchini Uganda[1][2].

Alisimama kama mwakilishi wa wanawake wa wilaya ya Alebtong katika bunge la kumi la Uganda kama mwanasiasa wakujitegemea hivyo alishindwa na Christine Acen aliyejiunga na vuguvugu la taifa la upinzani.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 30 women line up for 9 Lango Woman MP seats (en). Monitor (2020-07-19). Iliwekwa mnamo 2022-03-01.
  2. Alebtong NRM Chairperson Faces Dismissal for Supporting Independent Candidates : (en). Uganda Radionetwork. Iliwekwa mnamo 2022-03-01.
  3. NRM legislator who failed PLE recalled from parliament (en). Monitor (2021-01-17). Iliwekwa mnamo 2022-03-01.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dorcus Acen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.