Dolores Alexander
Mandhari
Dolores Alexander (Agosti 10, 1931 - Mei 13, 2008) alikuwa mtetezi wa haki za wanawake, mwandishi wa habari.
Alexander alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kitaifa la Wanawake a kujiuzulu kwa sababu ya imani mbalimbali.
Alifungua mgahawa wa wanawake ulioitwa "Mother Courage".[1]
Hadi kifo chake, mwaka 2008, aliendelea kuamini haja ya harakati za haki za wanawake katika nyakati za kisasa, akisema kuwa "Ni ubaguzi, na sijui kama unaweza kuuondoa".
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Feminists hail a restaurant where the piece de resistance is an attitude not a dish". Mary Ellen Mark. 1975. Iliwekwa mnamo Agosti 13, 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dolores Alexander kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |