Dodoma Convention Centre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ukumbi wa mikutano wa Dodoma, ni ukumbi mkubwa wa mikutano uliopo makao makuu ya Tanzania jijini Dodoma. jengo lilizinduliwa na Mh.Jakaya Mrisho Kikwete, Raisi wa awamu ya nne mnamo 9 Julai mwaka 2015[1].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "JK azindua ujenzi wa jumba la mikutano" [JK launches the construction of a convention centre]. Michuzi Blog. 11 November 2012. Retrieved 15 November 2013.