Nenda kwa yaliyomo

Diran

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Diran

Diran ni mlima wenye kimo cha m 7,257 juu ya usawa wa bahari.

Ni sehemu ya safu ya milima ya Karakoram. Uko nchini Pakistan.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Diran kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.