Dieumerci Ndongala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dieumerci Ndongala (alizaliwa 14 Juni 1991) ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Dieumerci Ndongala anacheza nchini Ubelgiji katika klabu ya KRC Genk kwa mkopo kutoka klabu ya Standard Liège k. Anacheza kama winga.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dieumerci Ndongala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.