Dieter Aschenborn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"Oryx Mbili" mnammo 1970, Woodcut 110 x 50 cm

Dieter Aschenborn (15 Novemba 1915 huko Okahandja, NamibiaSeptemba 2002 huko Windhoek, Namibia) alikuwa mchoraji kutoka nchini Namibia. Alikuwa mtoto wa mchoraji wa wanyama Hans Aschenborn .

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dieter Aschenborn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.