Nenda kwa yaliyomo

Di4ries

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Di4ries ni kipindi cha televisheni kutoka Italia. Kilianza kuonyeshwa na Netflix nchini Italia mnamo 18 Mei 2022 na kimataifa mnamo 26 Julai 2022.[1][2]

Wahusika

[hariri | hariri chanzo]
  • Andrea Arru kama Pietro Maggi, mvulana mkaidi lakini anaejitambua na asiye ita kuongea anachowaza.
  • Flavia Leone kama Livia Mancini, msichana mwema na anayefuata sheria, alipewa jina la utani "Miss Perfect" na wanafunzi wenzake.
  • Sofia Nicolini kama Isabel Diop, msichana anaependa michezo na anaejiamini.
  • Biagio Venditti kama Daniele Parisi, mvulana mpole, anayejali na huwa na wasiwasi sana.
  • Liam Nicolosi kama Giulio "Pac" Paccagnini, mchekeshaji wa darasa na rafiki wa karibu wa Pietro.
  • Federica Franzellitti kama Monica Piovani, mwerevu na rafiki wa karibu wa Isabela.
  • Pietro Sparvoli kama Mirko Valenti, mvulana muoga na anaependa muziki.
  • Francesca La Cava kama Arianna Rinaldi, msichana mwenye kiburi na anayejiona bora kuliko wengine.
  • Fiamma Parente kama Bianca Laremi (msimu 2), rafiki wa Giulio mwenye kipaji.
  • Emily Shaqiri [it] kama Katia (msimu 2), msichana mkorofi wa Marina Grande.

Wahusika Waalikwa

[hariri | hariri chanzo]
  • Massimo Pio Giunto kama Michele Pastore (msimu 1-2).
  • Marta Latino kama Lucia (msimu 1), rafiki wa karibu wa Arianna.
  • Lorenzo Nicolò kama Silverio Mancini (msimu 1-2),binamu wa Livia.
  • Christelle Arayata kama Carlotta (msimu1), rafiki wa Arianna na Lucia.
  • Alessandro Laffi kama Matteo "Il Grimo" (msimu 1),mchumba wake Livia na mbabe wa shule.
  • Narciso Santiago kama Damiano Valenti (msimu1),kaka yake Mirko.
  • Ismael Christ Carlotti kama Manuel (msimu 2), mchumba wake Monica.
  • Gabriele Taurisano kama Roby (msimu 2), mchezaji mwenza wa Pietro kutoka Marina Grande.
  • Martina Frosini kama Sara (msimu 2), rafiki wa karibu wa Katia.
  1. "'Di4ri', 'Sex Education', 'Élite', la campanella di scuola è suonata per le serie tv". la Repubblica (kwa Kiitaliano). 2023-09-19. Iliwekwa mnamo 2024-02-22.
  2. di Fabio Iuliano (2023-09-17). "Torna la serie "Di4ri" storie di adolescenti tra divorzi, bulli e amori". Il Centro (kwa Kiitaliano). Iliwekwa mnamo 2024-02-22.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Di4ries kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.