Dhothar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dhothar ni jina la ukoo wa Jat. Akina Dhothar huishi katika Punjab, pande zote Pakistan na Uhindi. Akina Dhothar wa Pakistan ni Waislamu na wale wa Uhindi hufuata dini ya Kalasinga.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dhothar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.