Deyna Castellanos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Castellanos akiwa na Atlético Madrid ya Wanawake mnamo 2020

Deyna Cristina Castellanos Naujenis (alizaliwa 18 Aprili 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu,kutoka Venezuela ambae anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Venezuela.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Deyna Castellanos – Florida State Seminoles". web.archive.org. 2017-10-26. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-26. Iliwekwa mnamo 2024-04-29. 
  2. "Paraguay y Brasil toman ventaja en la fase final - CONMEBOL". www.conmebol.com (kwa es-ES). 2018-01-26. Iliwekwa mnamo 2024-04-29. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Deyna Castellanos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.