Depok
Mandhari
6°23′38″S 106°49′21″E / 6.3940°S 106.8225°E
auto
| Depok Kiindonesia: Kota Petir English: City of Lightning |
|
| Nembo |
|
| Majiranukta: 6°23′38.4″S 106°49′21″E / 6.394000°S 106.82250°E | |
| Kaulimbiu: Kisunda: Paricara Dharma | |
| Madola | |
|---|---|
| Mkoa | Java |
| Jimbo | Java Magharibi |
| Serikali | |
| - Meya | Idris Abdul Somad |
| - Meya wa Makamu | Imam Budi Hartono |
| Eneo | |
| - Jumla | 200.29 km² |
| Mwinuko | 50−140 m (164−459 ft) |
| Idadi ya wakazi (2021) | |
| - Wakazi kwa ujumla | 2.462.215 |
| IWST | (UTC+7) |
| Msimbo wa posta | 164xx-165xx |
| Kodi ya simu | (+62) 21/251 |
| Tovuti: depok.go.id | |
Depok (kwa Kiindonesia: Kota Depok, yaani "Mji Depok") ni mji wa mkoa wa Java Magharibi nchini Indonesia.
Ukubwa wa eneo lake ni km² 200.29. Idadi ya wakazi wake imekadiriwa kuwa 2,462,215 (mwaka wa 2021). [onesha uthibitisho]
