Nenda kwa yaliyomo

Deon Lotz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Deon Lotz
Amezaliwa Deon Lotz
20 julai 1964
Kazi yake Mwigizaji wa filanmu afrika kusini
Miaka ya kazi 2003–mpaka sasa


Deon Lotz (alizaliwa 20 Julai 1964) [1] Ni mwigizaji wa Afrika Kusini wa filamu, runinga na Sanaa ya maonyesho. Anajulikana kimataifa kutokana na ushiriki wake katika filimu za Mandela: Long Walk to Freedom na Beauty (2011 film) |Beauty (Skoonheid). Ameonekana katika matayarisho kwa lugha ya Kiingereza na Afrikaans

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Deon Lotz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Deon Lotz". TVSA: The South African TV Authority. Retrieved 20 September 2015.