Dent d'Hérens

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mlima Dent d'Hérens, upande wa Kaskazini

Dent d'Hérens ni mlima wa Alpi kati ya nchi za Italia na Uswisi (Ulaya).

Urefu wake ni mita 4,171 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]