Nenda kwa yaliyomo

Dema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dema alikuwa Mkristo wa karne ya 1 anayetajwa mara tatu katika nyaraka za Mtume Paulo ambazo ni sehemu ya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo: Film 1:24, Kol 4:14, 2Tim 4:10.

Humo inaonekana kwamba aliwahi kushirikiana na Paulo katika utume wake kabla ya kumuacha na kwenda Thesalonike kwenye shughuli za kidunia[1].

  1. The Book on Leadership, John McArthur (Nelson Books, 2004), pp.198-199
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dema kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.