Dede One Day
Mandhari
| Dede One Day | |
|---|---|
| Amezaliwa | Peter Onwuzurike Onyehidelam jimbo la Imo |
| Amekufa | Desemba 14 2015 Aba |
| Kazi yake | Muigizaji, Vichekeso |
Dede One Day (Peter Onwuzurike Onyehidelam; alifariki 14 Desemba 2015) alikuwa mwigizaji wa vichekesho vya jukwaani wa Nigeria.[1]
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Dede One Day alikuwa na asili ya kabila la Wambieri lililopo jimbo la Imo. Alizaliwa na kukua katika mji wa Aba, Nigeria. Kipaji chake kilianza kung'ara katika filamu ya vichekesho ya Laugh With Me.[2][3]
Kifo
[hariri | hariri chanzo]Dede One Day alifariki muda mfupi baada ya kuanguka jukwaani wakati akifanya onyesho katika mji wa Aba mnamo tarehe 14 Desemba 2015.[4][5]
Filamu
[hariri | hariri chanzo]- Keke Soldiers
- Iron Pant
- Mortuary attendant
- Corporate Beggars
- My Class Mate
- Professional Beggars
- Village Musicians
- Senior Officer
- Joseph Oro Nro
- Village lawyer
- Shoe shiner
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Njoku, Benjamin (13 Februari 2016). "Imo AGN holds candle night for Dede-One-Day". Vanguard Newspaper. Iliwekwa mnamo 25 Aprili 2016.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Brief Profile/Biography/History Of Nollywood Comic Star Peter Onwuzurike known as "Dede one day"". Daily Mail Nigeria. 14 Desemba 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Aprili 2016. Iliwekwa mnamo 25 Aprili 2016.
{{cite news}}: More than one of|archivedate=na|archive-date=specified (help); More than one of|archiveurl=na|archive-url=specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Peace, Okechukwu (15 Desemba 2016). "Dede One Day: How Nollywood Actor Collapsed On Stage And Died Hours Later". Entertainment Express. Iliwekwa mnamo 25 Aprili 2016.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Godwin, Ameh Comrade (5 Januari 2016). "Nollywood actor, Dede One Day to be buried February 13". Daily Post. Iliwekwa mnamo 25 Aprili 2016.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Egbo, Vwovwe (14 Desemba 2015). "Ded One Day:Popular comic actor reported dead after performance at event". Pulse Nigeria. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-07-11. Iliwekwa mnamo 25 Aprili 2016.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dede One Day kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |