Nenda kwa yaliyomo

Debra Roberts

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Debra Roberts
Kazi yakemfanyakazi wa serikali ya Afrika Kusini


Debra C. Roberts ni mfanyakazi wa serikali ya Afrika Kusini na mmoja wa wenyeviti wenza wa Jopo la Serikali la Mabadiliko ya Tabia ya nchi liitwalo Intergovernmental Panel on Climate Change . Alichaguliwa kuwa mwenyekiti mwenza wa kikundi hicho mnamo 2015 [1].

Yeye ni mkuu wa Kitengo cha miradi endelevu na ustahimilivu wa Jiji katika Manispaa ya eThekwini ( Durban, Afrika Kusini ).

  1. McSweeney, Robert (18 Mei 2016). "The Carbon Brief Interview: Debra Roberts". Carbon Brief.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Debra Roberts kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.