Nenda kwa yaliyomo

Deborah Bell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Deborah Bell (1957, Johannesburg ) ni mchoraji na mchongaji wa nchini Afrika Kusini ambaye kazi zake zinajulikana kimataifa. [1] [2]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Bell alipata shahada ya sanaa kutoka Chuo Kikuu cha Witwatersrand mnamo mwaka 1975 na mnamo 1986 alipata Shahada ya Uzamili ya Sanaa katika chuo kikuu hicho hicho.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Deborah Bell at Bekris Gallery". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Oktoba 2013. Iliwekwa mnamo 1 Februari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Ceves, James (2020). "Top 15 South African Artists". South African News-website "Briefly.co.za". Iliwekwa mnamo 2020-04-07.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Deborah Bell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.