Deborah B. McGregor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Deborah B. McGregor ni mwanamazingira wa nchini Kanada. Pia ni profesa na mwenyekiti wa utafiti wa Kanada katika haki za asili ya mazingira katika shule ya sheria ya Osgoode Hall[1].

McGregor alizaliwa Kisiwa cha Birch, Ontario, kwa Mzee Marion McGregor. Alipata PhD yake ya misitu kutoka Chuo kikuu cha Toronto.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Deborah McGregor". Canadian Climate Institute (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-04-11. 
  2. "McGregor, Deborah – Osgoode Hall Law School" (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-04-11. 
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Deborah B. McGregor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.