Nenda kwa yaliyomo

Dead Peepol

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dead Peepol

Dead Peepol ni muunganiko wa wanamuziki wawili wa Ghana kutoka Kumasi. [1] [2] [3] [4]Walipata umaarufu kupitia wimbo wao 'Otan Hunu'. [5] [6] Walitoa remix ya wimbo huo iliyowashirikisha wasanii kama Fameye, Kuami Eugene, Medikal, Deon Boakye, Malcolm Nuna, Rich Kent, Tulenkey na Bosom P-Yung. [7]

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]
  • Medo Wo More
  • Don't Worry Be Happy
  • Otan Hunu
  • Otan Hunu Remix
  • Against
  • No Noise
  • Otan Hunu [8]
  • Otan Hunu Remix
  • Against
  • No Noise
  1. "ProfileAbility – Dead Peepol". ProfileAbility (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2021-04-05.
  2. "We made drill music popular in Ghana with 'Otanhunu' – Dead Peepol". www.ghanaweb.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-02-01.
  3. "Pulse Picks: 5 best new Ghanaian artistes of 2020". Pulse Ghana (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-02-01.
  4. https://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/entertainment/We-made-drill-music-popular-in-Ghana-with-Otanhunu-Dead-Peepol-1145531
  5. "Showbiz A-Z's Top Ten Countdown: Keche's 'No Dulling' tops list - MyJoyOnline.com". www.myjoyonline.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-02-01.
  6. Mensah, Jeffrey (2020-12-29). "17 Ghanaian songs which made the biggest waves in 2020". Yen.com.gh - Ghana news. (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-02-01.
  7. "Kelvyn Boy 'MOMO' ft. Darkovibes & Mugeez" (in en), OkayAfrica, https://www.okayafrica.com/ghana-music-songs-best-2020/?rebelltitem=8#rebelltitem8?rebelltitem=8, retrieved 2021-02-01
  8. "New Music + Video: Dead Peepol x Rich Kent – Otan Hunu". Jonilar (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-13. Iliwekwa mnamo 2021-02-01.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dead Peepol kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.