Davy Klaassen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Davy Klaasen
Davy Klaasen

Davy Klaassen (aliyezaliwa Februari 21, 1993) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Uholanzi ambaye anacheza klabu ya Bundesliga Werder Bremen na timu ya taifa ya Uholanzi. Yeye hutumiwa kama kiungo mshambuliaji katika klabu na taifa kwa ujumla.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Davy Klaassen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.