Nenda kwa yaliyomo

David Spade

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
David Spade

Spade, 2008
Amezaliwa 22 Julai 1964 (1964-07-22) (umri 60)
Birmingham, Michigan, US

David Wayne Spade (amezaliwa tar. 22 Julai 1964) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]