David Mendes
Mandhari
Manuel David Mendes ( 6 Mei 1962 huko Cazenga, mkoa wa Luanda, Angola) ni mwanasheria wa Angola, mwanaharakati wa haki za binadamu na mwanasiasa.Mendes ni mmoja wa watu wanaojulikana sana katika jumuiya ya kiraia ya Angola, na pia kama "wakili wa maskini" kwa sababu ya upinzani wake dhidi ya ufisadi serikalini.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu David Mendes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |