Daraja la Mungu

Majiranukta: 9°16′39″S 33°33′19″E / 9.27760°S 33.55515°E / -9.27760; 33.55515
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daraja la Mungu kwenye mto Kiwira.

9°16′39″S 33°33′19″E / 9.27760°S 33.55515°E / -9.27760; 33.55515 Daraja la Mungu ni daraja kubwa la asili linalounganisha kingo mbili za mto Kiwira kwenye Wilaya ya Rungwe, takriban km 10 upande wa magharibi wa Tukuyu.

Lina upana wa zaidi ya njia moja ya daraja na urefu wa mita 50.

Daraja hili lina uwezo wa kustahimili mizigo mikubwa kama mifugo.

Inaaminika kwamba daraja hili limetokea miaka mingi iliyopita kutokana na maji ya mto Kiwira yaliyokuwa yanatiririka kutoka Milima ya Uporoto yalipokutana na lava ya moto ya Mlima Rungwe.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-20. Iliwekwa mnamo 2020-02-01. 
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Songwe bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Daraja la Mungu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .
Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno