Danyelle Sargent

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Danyelle Sargent-Musselman
Amezaliwa mei 7 1978
Marekani
Nchi Marekani
Kazi yake Mtangazaji wa televisheni

Danyelle Sargent-Musselman (alizaliwa Mei 7 1978) alikuwa mtangazaji wa televisheni wa habari za michezo wa nchini Marekani .

Elimu na Kazi[hariri | hariri chanzo]

Sargent alihitimu Chuo Kikuu cha Florida na kuanza kazi kama mtangazaji wa televisheni kwenye kituo cha WGXA, huko Macon, Georgia. Kabla ya kujiunga na ESPN, alifanya kazi kama mtangazaji wa habari za michezo katika chaneli ya michezo kuanzia mwaka 2002 hadi 2004 huko Kansas City, Missouri. Alikuwa mwandishi wa pembeni wa Wakuu wa Jiji la Kansas wakati wa kipindi cha mwaka 2004. Aliwahi kuwa mtangazaji mkuu mwaka 2005 na 2006 wa Chama cha Kimataifa cha Wanariadha(NCAA).

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Sargent aliolewa na kocha mkuu wa mpira wa kikapu wa Arkansas Razorbacks, Eric Musselman. Katika ndoa yao walipata mtoto wa kike mnamo mwaka 2010. Sargent pia ana watoto wawili wa nje ya ndoa.


Viungo Vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Danyelle Sargent kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.