Danny Simpson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Danny Simpson

Daniel Peter Simpson (alizaliwa 4 Januari 1987) ni mchezaji wa soka wa Uingereza anayecheza kama mchezaji wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Leicester.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Simpson alicheza kwa mkopo katika klabu ya Sunderland,na pia klabu ya Ipswich Town na Blackburn Rovers nchini Uingereza, na Royal Antwerp nchini Ubelgiji. Alicheza kwa mkopo Newcastle United kwa muda wa miezi sita(6) kabla ya kusainiwa katika klabu hiyo milele Januari 2010, na baada ya miaka minne(4) mnamo mwaka 2013 .lijiunga na Queens Park Rangers (QPR)kwa uhamisho wa bure mwezi Juni 2013 kwa mwaka, kabla ya kujiunga na Leicester City msimu uliofuata.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Danny Simpson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.