Nenda kwa yaliyomo

Daniel Rudisha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Olympic medal record
Riadha ya Wanaume
Fedha Olimpiki ya 1998, Mexico Shindano la 4x400 kupokezana vijiti

Daniel Rudisha alikuwa mwanariadha wa Kenya aliyekuwa akishiriki katika mbio za mita 400. Aliiwakilisha Kenya katika mashindano ya olimpiki ya mwaka 1998 jijini Mexico katika shindano la 4 x 400 kupokezana vijiti ambapo alishinda medali ya fedha akiwa na wanariadha wengine wa timu yake, Hezahiah Nyamau, Naftali Bon na Charles Asati.

Maisha ya binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Rudisha anaishi Kilgoris nchini Kenya.

Mwana wake wa kiume David Rudisha, ni mwanariadha pia ambaye alishinda katika shindano la mita 800 wakati wa Mashindano ya Dunia ya Riadha ya Chipukizi ya 2006.