Nenda kwa yaliyomo

Daniel E. Garcia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daniel E. Garcia

Daniel Elias Garcia (alizaliwa 30 Agosti 1960) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani. Alitawazwa kuwa askofu msaidizi wa Jimbo la Austin, Texas, tarehe 3 Machi 2015. Tarehe 29 Januari 2019, aliteuliwa kuwa askofu wa tano wa Jimbo la Monterey, California.[1] [2]

  1. "Bishop Daniel E. Garcia". Diocese of Monterey (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-02-16.
  2. "Pope Francis Names Auxiliary Bishop to Lead Diocese of Monterey | USCCB". www.usccb.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-02-16.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.