Daim Zainuddin
Mandhari
Che Abdul Daim bin Zainuddin (29 Aprili 1938 - 13 Novemba 2024) alikuwa mwanasiasa na mfanyabiashara kutoka Malaysia ambaye alihudumu kama Waziri wa Fedha kutoka mwaka 1984 hadi 1989 na tena kutoka 1999 hadi 2001 chini ya waziri mkuu Mahathir Mohamad. Vilevile, alihudumu kama Mbunge (MP) kutoka mwaka 1982 hadi 2004. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Who was Daim Zainuddin? Finance minister, banker, businessman, adviser (1938–2024)", Malay Mail, 2024-11-13. (en)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Daim Zainuddin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |