Dagný Brynjarsdóttir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dagný Brynjarsdóttir mnamo Oktoba 2017

Dagný Brynjarsdóttir (alizaliwa 10 Agosti 1991)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Isiland ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya West Ham United inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Isiland .[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Leikmaður - Dagný Brynjarsdóttir". www.ksi.is (kwa Kiisilandi). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. "Dagný lék fótbrotin á EM". www.mbl.is (kwa Kiisilandi). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dagný Brynjarsdóttir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.