Dachstein

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Safu ya milima Dachstein, upande wa Kaskazini-Magharibi

Dachstein ni mlima wa Alpi katika nchi ya Austria (Ulaya).

Urefu wake ni mita 2,997 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Dachstein kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.