DJ Mavious

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Enock Mukiibi (alizaliwa 6 Juni, 1991, Marekani) anajulikana kama DJ Mavious (Omwana w'eka) ni mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki na DJ wa nchini Uganda.[1][2][3][4][5]


Kazi[hariri | hariri chanzo]

Akiwa na umri wa miaka 14, alijitosa katika tasnia ya muziki kama DJ[6] katika karamu na hafla kadhaa za nyumbani huko Marekani mwanzoni mwa kazi yake ya muziki.[2][7][1][8] Mnamo 2018 alianza utunzi wa nyimbo na kuimba ambapo anajulikana sana kwa nyimbo zake kama vile Bantuma, Kakuba, Boss miongoni mwa zingine.[1][4][3][9]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 "Meet Mavious, US-Based Ugandan DJ Flying Uganda's Flag High". November 29, 2021.  Check date values in: |date= (help)
  2. 2.0 2.1 "DJ Mavious: A journey from Namasuba to the international stage". September 29, 2021.  Check date values in: |date= (help)
  3. 3.0 3.1 "Ugandan born DJ Mavious shining on the International stage". November 28, 2021. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-30. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.  Check date values in: |date= (help)
  4. 4.0 4.1 "SONG REVIEW: Dj Mavious pours out heart in maiden song 'Bantuma'". June 7, 2021.  Check date values in: |date= (help)
  5. "SONG REVIEW: Dj Mavious returns with new song 'Kakuba'". 6 September 2021.  Check date values in: |date= (help)
  6. "Ugandan born DJ Mavious shining on the International stage". November 26, 2021. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-27. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.  Check date values in: |date= (help)
  7. Ssejjombwe, Isaac. "The pandemic was the right time for me to make music – DJ Mavious". 
  8. "Omwana Weka Dj Mavious' 'Bantuma': Everything We Know About New Song .". August 7, 2021. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-30. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.  Check date values in: |date= (help)
  9. "Dj Mavious works with producer monster pan on his new song 'Kakuba'". 6 December 2021.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu DJ Mavious kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.