Nenda kwa yaliyomo

Dar es Salaam Institute of Technology

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka DIT)
Caption text


Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) ni chuo cha teknolojia kilichoanzishwa mwaka 1997.

Kuna kozi za stashahada na za shahada ya kwanza (B.A.) katika fani mbalimbali za uhandisi.

Kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Leeds ziko pia kozi za shahada ya pili (M.A.).

Chuo kipo jijini Dar es Salaam karibu na njiapanda za barabara za Morogoro na Bibi Titi Mohamed.

Mtangulizi wa DIT ilikuwa Chuo cha Ufundi Dar es Salaam kilichofunza mafundi tangu mwaka 1957.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Tovuti rasmi ya DIT Archived 24 Novemba 2009 at the Wayback Machine.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dar es Salaam Institute of Technology kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.