Nenda kwa yaliyomo

Cuthbert Joseph Obwangor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cuthbert Joseph Obwangor (1 Novemba 1920 - 19 Mei 2012) alikuwa waziri na mbunge wa muda mrefu wa Uganda.

Alikuwa waziri na mfungwa wa kisiasa wa utawala wa Apollo Milton Obote baada ya kupinga Obote kuongezwa mamlaka huku Obwangor akiwa waziri.[1][2]

Kwa kabila na Mwiteso.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mubangizi, Michael (22 Mei 2012). "Feature: The life and times of Cuthbert Obwangor". The Observer. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-20. Iliwekwa mnamo 20 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Who's Who in East Africa 1967–68 (toleo la First). Nairobi: Marco Publishing Ltd, Nairobi. 1968. uk. 238.
  3. Odongtho, Charles. "Museveni Mourns Former Minister Obwangor". Uganda Radio Network. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-20. Iliwekwa mnamo 20 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cuthbert Joseph Obwangor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.