Corlia Fourie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Corlia Fourie
Nchi Africa kusini
Majina mengine Cornelia Hilda Kühn
Kazi yake Mwandishi

JINA 'Maandishi ya kooze'Cornelia Hilda Kühn (amezaliwa 11 Desembamwaka 1944) ni mwandishi wa Afrika Kusini anayejulikana kwa jina la Corlia Fourie. Alishinda tuzo ya ATKV kwa hadithi fupi ya Liefde en geweld (Upendo na vurugu) na tuzo ya MER kwa hadithi za Die towersak en ander (Mfuko wa uchawi na wengine). Mnamo mwaka 1995, alipokea Tuzo ya Alba Bouwer.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Ni binti wa mwandishi Mikro (C H Kühn).[1] Anaandika maigizo, vitabu vya watoto, hadithi fupi na riwaya. Tamthiliya yake ya Moeders en dogters (Mama na binti) ilirushwa kwenye runinga na redio na pia kutolewa na Kruik.

Vitabu[hariri | hariri chanzo]

  • Marianne en die leeu in die pophuis, 1982
  • Moeders en dogters, 1985/92
  • Leuens, 1986
  • En die son skyn in Suid-Afrika, 1986
  • Die volstruisie wat graag wou vlieg, 1986
  • Die meisie wat soos 'n bottervoël sing
  • Tintinyane, the girl who sang like a magic bird, 1990
  • Jakkalsstreke, 1991
  • Liefde en geweld (kortstories), Tafelberg, 1992
  • Ganekwane en die groen draak, 1992
  • Vrou-mens, Verhale deur vroue oor vroue (kompilasie), 1993
  • Die deurmekaardier, 1993
  • Sê (kortstories), 1994
  • Die towersak, 1995
  • Die oop deur, 1996
  • Nolito en die wonderwater, 1997
  • Die wit vlinder, Tafelberg, 1993
  • Want die lewe is goed – keur uit die werk van Mikro, Lapa, 2003
  • Ware liefde: bekende Suid-Afrikaanse paartjiesWare liefde: bekende Suid-Afrikaanse paartjies, Human & Rousseau, 2008
  • Heleen en die heks met die hoofpyn, Protea Boekhuis, 2008
  • Alle paaie lei deur die strand, LAPA 2008
  • Die geheime kamer, LAPA 2012

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Corlia Fourie". Stellenboschwriters.com. Iliwekwa mnamo 18 July 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Corlia Fourie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.