Colorado Springs, Colorado

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Colorado Springs, Colorado






Colorado Springs

Bendera
Colorado Springs is located in Marekani
Colorado Springs
Colorado Springs

Mahali pa mji wa Colorado Springs katika Marekani

Majiranukta: 38°51′00″N 104°47′00″W / 38.85000°N 104.78333°W / 38.85000; -104.78333
Nchi Marekani
Jimbo Colorado
Wilaya El Paso
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 414,658
Tovuti:  http://www.springsgov.com/
Mahali pa Colorado Springs katika El Paso County na Colorado

Colorado Springs ni mji wa Marekani katika jimbo la Colorado. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 415,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 1832 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 482 km².

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Colorado Springs, Colorado kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.