Cleopatra Koheirwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cleopatra Koheirwe ni mwigizaji, mwandishi na mwimbaji kutoka Uganda.

Mwaka 2006, aliigiza filamu yake ya kwanza iliyofahamika kwa jina la ‘’The Last King of Scotland. Kuanzia hapo, ametokea katika filamu nyingi tofauti pamoja na kazi za kimataifa mojawapo ikiwa ni katika igizo la Sense8 inayoonyeshwa na Netfilx, aliigiza kama mama kwenye sehemu ya pili.[1][2][3]

Cleopatra alishika uhusika wa Ebony katika filamu iliyoongozwa na Nana Kagga kwa jina la Reflections[4] alongside other Uganda celebrities Malaika Nnyanzi, Housen Mushema, Andrew Kyamagero, Prynce Joel Okuyo and Gladys Oyenbot.[5]

Mwaka 2019, Cleopatra alijiunga na StarTimes Uganda kama Mkurugenzi wa Mahusiano ki-sekta.[6][7][8]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Mwanamuziki (kuanzia 2001)[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2001, alijiunga na kundi la mziki na ngoma lijulikanalo kwa jina la Obsessions[9] (now Obsessions Africa) until March 2007 when she resigned from the group to continue on her own path.[10]

Mwaka 2010, alianza kufanya kazi ya uimbaji wa kibinafsi, baada ya mashabiki na marafiki zake kumhamasisha kuimba hivyo. Nyimbo yake ya kwanza ilikua na jina Ngamba, jina la Kiganda lililomaanisha, "Niambie" unaohusiana na mapenzi ya uongo. Wimbo wake ulipokelewa vyema na kuchezwa katika vituo vya redio nchini Uganda.[11]

Mwishoni mwa mwaka 2011, Cleopatra alijiunga na studio za Cypher chini ya uongozi wa Jimmy ‘The Beatmekah’ Okungu. Mnamo mwaka 2012, Aliachia mziki wake wa kwanza pamoja na video kwa jina la "Party on my Mind" na alimshirikisha mwanamziki kutoka Kenya kwa jina la Levysill katika wimbo wake wa "Lay You Down" wa 2013.Nyimbo zote mbili zilichezwa sana katika vituo vya redio na televisheni vya Afrika ya Mashariki hasa hasa Kenya na Uganda. Cleopatra anaandika nyimbo zake kutokana na vitu vinavyomzinguka pamoja na vya marafiki’ze.

Muongoza vipindi vya Redio (kuanzia 2003)[hariri | hariri chanzo]

Kituo cha kwanza cha redio, Cleopatra kutangaza kilikua ni 91.3 Capital FM (Uganda) mwaka 2003/2004 kama mtangazaji mshiriki katika kipindi cha Drive Time Show kuanzia saa 9 usiku mpaka saa 1 asubuhi. Pia alitangaza kipindi cha The Dream Breakfast kwa siku za jumamosi kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 4 asubuhi, akiwa na mtangazaji mwenzake Hakeem Saga maarufu kama Hakeem the Dream.

Mwaka 2008, alifanya kazi KIU FM akiendesha kipindi cha The Left Drivekuanzia saa 9 mchana hadi saa 1 jioni na kipindi alichotengeneza mwenyewe kwa jina la Rock & Soul siku a jumamosi saa 4 hadi saa nane usiku.

Mwaka 2011, alirudi katika utangazaji wa redio na kuendesha kipindi cha The Jam katika kituo cha Radiocity 97fm kila siku za jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa 9 mchana hadi saa 1 jioni akiwa na mwenzake wah apo awali Hakeem Saga.

Mwaka 2013, akiwa bado Radiocity 97Fm,[12] alihama n akua mtangazaji wa kipindi cha the U-Request show. Alichukua likizo ya uzazi Disemba 2013 na kuhamia Kenya.[13] Oktoba 2016, alirudi katika kazi ya utangazaji wa redio kama mtangazaji mshiriki wa kipindi cha Mid-Morning Magazine akiwa na Peace Menya hadi mwishoni mwa mwezi Mei 2019 alipojiunga na StarTimes.

Televisheni[hariri | hariri chanzo]

Mtangazaji wa vipindi (2004–2013)[hariri | hariri chanzo]

Alifanya kazi kama muendesha vipindi vya televisheni, hasa hasa kituo cha WBS TV kati ya mwaka 2004 na 2009. Aliendesha vipindi kama; Showtime Magazine, inayohusu safari, Sanaa, maonyesho, muziki, filamu na utu, Meet Our Leaders, ambapo alifanya mahojiano na wabunge na kuongozana nao katika majombo wakiongelea kazi chanya walizozifanya, Fitness Watch, kipindi cha afya ya mazoezi aliongoza watazamaji katika mazoezi ya vitendo na kutoa dondoo za kiafya. Mwaka 2013, alikua mgeni mualikwa katika kipindi cha Sakata Mashariki cha Kenya.

Jaji wa televisheni (2011–2013)[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 2011, alichaguliwa kuwa jaji kwenye kipindi cha WBS TV kwa jina la The Icon, kipindi kilichokua kinatafuta mtangazaji chipukizi wa televisheni. Mwaka 2012, alikua Jaji katika onyesho la vipaji vya muziki kwa jina la UG Factor.

Mnamo Septemba 2013, Cleopatra alijiunga na Flavia Tumusiime pamoja na jaji na muimbaji wa Tusker Project Juliana Kanyomozi kama majaji katika mashindano ya Tusker Project Fame ya 6 huko Kampala.[14][15][16] Walikua na kazi ya kutafuta na kuchagua wawakilishi wa Uganda katika Tusker Project Fame Academy huko Nairobi, Kenya.

Mwaka 2013, alikua jaji mualikwa katika maonyesho ya M-Net onyesho la vipaji kwa jina la Maisha Superstar.

Uigizaji[hariri | hariri chanzo]

Jukwaa la maigizo[hariri | hariri chanzo]

Cleopatra amekua akifanya maigizo tangu akiwa shule. Onyesho lake la kwanza la jukwaani lilikua la The Republic of Feminia kama mcheza densi mwaka 1999 akiwa Chuo cha Namasagali. Pia aliigiza kama Mama Matahari na dansi kwenye The Secret Agent mwaka 2000. Mwaka 2012, aliigiza katika mkutano wa wahitimu wa Chuo cha Namasagali kwa jina la The Happy Life Hotel.

Aliendelea kucheza maigizo jukwaani alippojiunga na Obsessions akicheza uhusika wa mcheza densi kwenye Cleopatra mwaka 2001, Binti mfalme Elminia kwenye Queen of Sheeba, Malkia kwenye Heart of a Dancer na Malkia kwenye Legend of the Sceptre. Aliigiza pia kwenye filamu ya Adam and Eve.

Filamu na Televisheni[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 2006 Cleopatraalifanya majaribio yake ya kwanza ya uhusika katika filam ya The Last King of Scotland Mwaka 2006 ambamo alishiriki kama Joy.Toka hapo amejitokeza katika filamu tofauti zilizoandaliwa ndani nan je ya nchi, na pia kushinda kushinda baadhi ya tuzo za sanaa. Alifanyia kazi mabadiliko ya: uhusika katika maonyesho ya televisheni ya M-Net TV sehemu ya kwanza na ya pili kama Nanziri Mayanja kuanzia 2008 hadi 2010, Be the Judge, Onyesho la kikenya kama Lucy Mango mwaka 2010, Yogera filamu (2011), State Research Bureau (S.R.B) filamu (2011) uhusika akiwa Faith Katushabe.[17]

Aliigiza katika filam ya Kona,kama Jakki, mcheza Masumbwi anaejaribu kurejesha mahusiano na Baba’ye ambaye ni kocha wa Masumbwi. Alicheza katika filam ya Sense8, kama Mama.[18] Cleopatra anatarajiwa kutokea katika filau mpya itakayoongozwa na Nana Kagga kama jina laReflections kama Ebony,kati ya moja ya wapinzani wanne.

Mwandishi (tangu 2005)[hariri | hariri chanzo]

Cleopatra alikua mwandishi mwanzilishi na baadae kuwa Mhariri katika Jarida la African Woman Magazine Kuanzia 2005 Jarida hilo lilipoanzishwa hadi Julai July 2012. Alifanya kazi huru ya uandishi wa Jarida la Afya na Usafi , Magazine7, na kuchangia katika mitandao kama Music Uganda na UG Pulse. Cleopatra alichangia pia katika Jarida la Kenya kwa jina la to Drum Magazine Kenya kuanzia 2014 hadi 2015.

Kazi ya Uhamasishaji[hariri | hariri chanzo]

Cleopatra alipenda kuhamasisha na Mshauri wa watu hasa vijana. Mwaka 2011, alishiriki katika Kampeni za ‘Speak Out-No Fear’, zilizopinga ukatili wa ndani na unyanyasaji kwa Watoto.

Mwaka 2012 Cleopatra alifuatwa na mkuu wa Unlock Foundation, shirika la lisilo la kibiashara akimtaka ashiriki katika program ya kushughulika na masuala ya tofauti uliopo katika elimu kwa shule za vijijini Afrika. Kaazi hii ilimpatia nafasi katika kuwania tuzo ya Buzz Teeniez Awards 2013.

Pia teena mwka 2012, alichaguliwa na Reach a Hand Uganda (RAHU), shirika lisilo la kiserikali lililokua na lengo la kuinua vijana na kuongelea masuala mbalimbali yanayohusu vijana katika shule mbalimbali. Baada ya kumaliza program hyo,RAHU ilimtaja kama mshauri bora wa wiki.[19] Cleopatra alikua mmoja wa watu muhimu ndani ya Reach a Hand Uganda (RAHU) na alijihusisha hadi mwaka 2014[20] alioamua kuchukua likizo ili kumlea mtoto wake.

Mafunzo[hariri | hariri chanzo]

Mnamo, Agosti 2017, aikua miongoni mwa watu sita kutoka Afrika waliochaguliwa kushiriki katika mafunzo ya siku tatu huko Los Angeles pamoja na muigizaji Maarufu wa Naigeria OC Ukeje.[21]

Mwaka 2010 aliwa anajiandaa kurekodi filamu ya CHANGES sehemu 2, Cleopatra na wahusika wakuuwakiwemo Nick Mutuma, Pierra Makena, Nini Wacera, Patricia Kihoro[22] walipewa mafunzo na Rob Mello, Kocha Mbobezi kutoka Rob Mello Studios Atlanta, USA.

Elimu ya Asili[hariri | hariri chanzo]

Cleopatra alipata elimu yake ya msingi kutoka shule ya Nakasero Primary School (P.L.E), Bugema Adventist Secondary School (UCE) na Namasagali College (UACE) na Chuo cha Makerere. Ni mhitimu mwenye Shahada ya Sayansi ya Jamii. Ana Astashahada ya Uandishi wa Habari ya Jamiiakiyopata kutoka University of South Africa (UNISA).

Maisha Binafsi[hariri | hariri chanzo]

Cleopatra ni Binti wa Jocelyn Twinesanyu "Sanyu" Rwekikiga na Anthony Abamwikirize Bateyo alizaliwa mwaka 1982. Hakuwahi muona Baba yake mazi ambae alikufa katika vita vya Obote II regime.

Cleopatra alipata mtoto wake wa kwanza mwaka 2014 na mchumba wake Lwanda Jawar, mcheza filamu wa Kenya.[23] Alijifungua mtoto wa kike na kumpa jina la Aviana Twine Jawar January 22, 2014.[24] Alimpa jina la Twine ambalo ni la mama yake, Twinesanyu.[25]ambapo alichukua likizo kwa ajili yakumlea mtoto wake.

Maisha ya Uigizaji[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Filamu/Maonyesho ya Televisheni Uhusika Maelezo
2019 Kyaddala Mshauri wa Rahu Reach a Hand Uganda na Emmanuel Ikubese Matayarisho ya Filamu NBS
2018 #Family Leah Nabwiso Films TV series.
Mela Naava Katende Savannah MOON Web Series
27 Guns Alice Kaboyo Filamu Iliyoongozwa na Natasha Museveni
2017 Reflections Ebony Filamu inayotarajia kuja, iliyoongozwa na Nana Kagga Macpherson
2016 Sense8 Mama Maonyesho ya Televisheni yaliyotengenezwa na kuongozwa na The Wachowskis
2013 Kona Jakki Telenovela ya Kenya [26]
2011 State Research Bureau Faith Katushabe Mhusika Msaidizi
Yogera Hope/ G Mhusika sehemu mbili tofauti
2010 Be the Judge Lucy Mango Maonyesho ya ndani ya Kenya
2008-10 Changes Nanziri Mayanja Maonyesho ya DSTV ya Kikenya sehemu ya Kwanza na ya pili
2006 The Last King of Scotland Joy Mshirirki Msaidizi

Teuzi na Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Awards
Mwaka Tuzo Nyanja Matokeo
2013 RTV Awards Mtangazaji Bora wa Kike Chipukizi Nominated
2013 Nile Diaspora's International Film Festival (NDIFF) Muigizaji Bora wa Kike Honoured with the Industry Maverick Award
2013 Radio & Television Academy Awards (RTVAA) Uganda Best Late Afternoon Show-English (The Jam on Radiocity 97Fm) Kigezo:Mshindi
2013 Buzz Teeniez Awards Teeniez Role Model Nominated[27]
2012 Super Talent Awards Muigizaji bora wa kike mwenye Talanta Kigezo:Mteuzi
2012 Pearl International Film Festival Awards (PIFFA) Uganda Muigizaji Bora Msaidizi Kigezo:Mteuzi
2011 Kalasha Film & Television Awards, Kenya Muigizaji bora katika Maonyesho ya Televisheni (Be the Judge) Nominated[28]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ugandan actress Cleopatra Koheirwe stars in a Netflix series". Guru8. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 July 2017. Iliwekwa mnamo 17 May 2017.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Cleopatra Koheirwe stars in a Netflix series". Showbiz Uganda. Iliwekwa mnamo 18 May 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Meet Cleopatra Koheirwe; Uganda’s Most Talented Actress, Writer And Singer". Chimpreports. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-27. Iliwekwa mnamo 27 April 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Cleopatra Koheirwe: Actress Extraordinaire". Jump by Vodafone. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 August 2017. Iliwekwa mnamo 16 August 2017.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  5. "Behind The Scenes part 1 | Ugandan TV Series ‘Reflections’ kick off filming". Doberre. Iliwekwa mnamo 9 May 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. "Radio Personality Cleopatra Lands Juicy Gig at StarTimes Uganda". Retrieved on 10 July 2019. 
  7. "Sexy Cleopatra Koheirwe Joins StarTimes Uganda As PR Manager". Retrieved on 10 July 2019. Archived from the original on 2020-10-21. 
  8. "Radio City ‘Queen’ named StarTimes PR Manager". Retrieved on 10 July 2019. Archived from the original on 2019-07-10. 
  9. "‘Obsessions’ Girl is Now a Mum". Nairobi Wire. Iliwekwa mnamo 30 January 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  10. "Cleopatra Koheirwe and Diana Kahunde for Hellen Lukoma". Satisfashion. Iliwekwa mnamo 18 September 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  11. "Cleopatra back to singing by Isaac ssejjombwe". Music Uganda. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-06. Iliwekwa mnamo 2020-10-17. 
  12. "I Am Not Quitting Radio – Radio City’s Cleopatra". Big Eye. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-18. Iliwekwa mnamo 26 June 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  13. "I Am Not Quitting Radio – Radio City’s Cleopatra", Bigeye Uganda. Retrieved on 9 September 2019. Archived from the original on 2020-10-18. 
  14. "Tusker Project Fame Kampala Auditions Set". Uganda Online. Iliwekwa mnamo 29 August 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
  15. "Cleopatra Koheirwe Unveils Her Prince Handsome". Big Eye. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-09-14. Iliwekwa mnamo 6 September 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
  16. "Cleopatra to keep her style ‘Casual Smart" at the #TPF Kampala auditions". Satisfashion. Iliwekwa mnamo 6 September 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
  17. "Cleopatra Koheirwe’s daughter makes one.". Big Eye. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-17. Iliwekwa mnamo 23 January 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  18. "Ugandan actress Cleopatra Koheirwe stars in a Netflix series". Guru8. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 July 2017. Iliwekwa mnamo 17 May 2017.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  19. "MENTOR OF THE WEEK CLEOPATRA KOHEIRWE". Reach a Hand Uganda Wordpress. Iliwekwa mnamo 17 April 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)
  20. "Artist Biography Cleopatra Koheirwe". How We. 
  21. "African Film Industry Pros Learn From Hollywood". VOA News. Iliwekwa mnamo 30 August 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  22. "So You Want To Be An Actor/Actress - Munene Mutuma & Cleopatra Koheirwe....". Patricia Kihoro Website. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-16. Iliwekwa mnamo 7 February 2011.  Check date values in: |accessdate= (help)
  23. "Cleopatra Reveals That She Is Pregnant.". Big Eye. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-09-20. Iliwekwa mnamo 17 September 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
  24. "Top Radio Presenter celebrates her bundle of Joy". SDK Kenya. 
  25. "Cleopatra, Lwanda Welcome Baby Girl". Showbiz Uganda. Iliwekwa mnamo 24 January 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  26. Mukama, Froncesca (12 March 2015). "Cleopatra – Kona Tv Series Is The Best Thing That Has Happened To Me In My Career". oops.ug. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 March 2016. Iliwekwa mnamo 25 December 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  27. "Young mulo tops buzz awards nominees’ list". Daily Monitor. Iliwekwa mnamo 22 April 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
  28. "Vote for your 3rd edition Kalasha Awards winner". Capital FM, Kenya. Iliwekwa mnamo 8 September 2011.  Check date values in: |accessdate= (help)