Nini Wacera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nini Wacera (alizaliwa 16 Januari 1978) ni mwigizaji na muongoza filamu kutoka Kenya.[1] Wacera ameonekana katika filamu na maonyesho ya televisheni zaidi ya kumi. Alijipatia umaarufu katika telenova ya mwaka 2005 Wingu la moto.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Mwaka {2003}, Nini aliigiza katika telenova kwa jina la Wingu la moto kama mhusika mkuu mpinzani. Pia, alikuwa mhusika katika filamu za, Project Daddy, The White Masai na Nairobi Half Life. Mwaka 2015, aliigiza kama mhusika kuu mpinzani katika filamu ya Desperate Housewives .[2]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Filamu/Televisheni
Mwaka Kazi Uhusika Maelezo
2002 Dangerous Affair Kui
2003–2006 Wingu la moto Suzanne Mhusika mkuu mpinzani[3]
2004 Project Daddy Mhusika msaidizi
Epilogue
2005 The White Masai hakupata sifa[4]
2006 Silent Monologues
2010 Life in D minor
2012 Nairobi Half Life Uhusika maalumu
2013-14 Kona Julia Oyange Mhusika mkuu mpinzani
2015-mpaka sasa Desperate Housewives Africa Ese De Souza Ya kawaida[5]
2018 Rafiki Mercy

Tuzo na Utambuzi[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Jina la Tuzo Filamu/Televisheni Matokeo
2003 Golden Dhow Award Project Daddy mshindi
2003 50th International Oberhausen Short Film Festival Epilogue mshindi
2004 7th Africa Cine week Dangerous affair mshindi
2006 Fanta Chaguo la Teeniez Wingu la moto mshindi


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Actress Nini Wacera and Kaz’s show abandoned by broadcaster. Sde.co.ke. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-11-29. Iliwekwa mnamo 2019-03-09.
  2. https://nairobinews.nation.co.ke/chillax/nini-wacera-to-feature-in-desperate-housewives-africa-series
  3. Nini Wacera the baddest girl on TV in Wingu la moto. Actors.co.ke. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-10-25. Iliwekwa mnamo 2015-08-28.
  4. Nini wacera plays in movie The white maasai. M.imdb.com. Iliwekwa mnamo 2015-08-28.
  5. Nini wacera lands role in Desperate Housewives African. The-star.co.ke. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-09-25. Iliwekwa mnamo 2015-08-28.
Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nini Wacera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.