Flavia Tumusiime

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Flavia Tumusiime ni mwigizaji wa Uganda, muundaji wa vipindi vya televisheni na redio, na mwenye sauti ya kisanaa.Pia ni mshereheshaji na mwandishi wa Siku 30 ya Flavia. Anawakilisha kipindi cha alfajiri kwenye redio (kuanzia asubuhi –jioni) kwenye 91.3 Capital FM redio ndani ya Kampala,aliyekuwa muuandaji wa vipindi vya asubuhi katika NTV Uganda pia alikuwa akifanya kipindi cha asubuhi na kile cha jioni kama nanga wa habari kwenye NTV habari za jioni . pia alifanya majukumu ya Kamali Tenywa(kiongozi mkuu) ndani ya mfululizo za televisheni za Nana Kagga,Mfululizo wa Beneath The lies toka mwaka 2014 hadi 2016 pia alikuwa muandaji mkuu wa mchezo wa mpira wa miguu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Flavia Tumusiime kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.