Nenda kwa yaliyomo

Clarence Yongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Clarence Yongo ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa televisheni kutoka nchini Kamerun. Akiwa mwanaharakati wa haki za wanawake, alianzisha kituo cha televisheni kinachoendeshwa na wanawake pekee. Aliongoza kwa mafanikio kampeni ya urais Afrika ya Kati[1].

  1. "Clarence Yongo". Médias Du Cameroun. 2020-07-31. Iliwekwa mnamo 2023-11-09.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Clarence Yongo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.