Clara Luvanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Clara Cleitus Luvanga (alizaliwa 25 Februari 2005) ni mwanasoka wa Tanzania ambaye anacheza kama mshambuliaji wa Al Nassr.

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Luvanga ni wa kabila la Wahehe.[1]

Kazi katika Klabu[hariri | hariri chanzo]

Dux Logroño

Mnamo Agosti 2023, Luvanga alitia saini katika timu ya daraja la Pili ya Uhispania ya Dux Logroño.[2]

Al Nassr

Mnamo Oktoba 2023, Luvanga alijiunga na timu ya Al Nassr ya Ligi Kuu ya Wanawake ya [[Saudia[3]

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Luvanga aliwahi kushuhutumiwa kuwa mwanamume. [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Clara Luvanga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.