Cindy Sanyu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sindy Sanyu
Kazi yake mwanamuziki


Cindy Sanyu anajulikana kama Cinderella Sanyu ni mwanamuziki wa nchini Uganda. [1] Alikuwa mmoja wa washiriki wa awali wa Blu*3 iliyojumuishwa na Lilian Mbabazi na Jackie Chandiru. Amefanya kazi na wasanii kama P-Square, Wahu, Beenie Man, Ne-Yo, Tiwa savage, Bobi Wine, Shaggy, Chameleon, Bebe Cool, Davido, Mr. G na Radio & Weasel.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Cindy speaks out". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-06. Iliwekwa mnamo 5 January 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Cindy, Davido fire up Kigali". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-11-14. Iliwekwa mnamo 5 January 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cindy Sanyu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.