Chuo Kikuu cha Kifaransa cha Elimu ya Usafiri Angani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Max Hymans.

Chuo Kikuu cha Kifaransa cha Elimu ya Usafiri Angani (kwa Far.: École nationale de l'aviation civile; kifupi: ENAC) ni chuo kikuu cha Ufaransa kinachofundisha fani zote za usafiri wa angani kama vile urubani, uhandisi wa eropleni au usimamizi wa mwendo wa eropleni hewani.

Chuo hicho kilianzishwa mwaka 1949 mjini Orly (karibu na Paris) lakini tangu 1968 kilihamishiwa Toulouse ambako kuna pia viwanda vikubwa vya eropleni hasa vya Airbus na kampuni ya usafiri wa anga-nje EADS.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Kifaransa cha Elimu ya Usafiri Angani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.