Nenda kwa yaliyomo

Chuck Baird

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chuck Baird (Februari 22, 1947 - Februari 10, 2012) [1] alikuwa msanii wa marekani asiyeweza kusikia, mmoja wa waanzilishi mashuhuri wa harakati ya sanaa ya De'VIA, [2] ikijumuisha mbinu ya utamaduni na mtazamo wa viziwi.[3][4] Kazi yake ilidumu kwa zaidi ya miaka 35 na ilijumuisha uchoraji, uchongaji, uigizaji, simulizi za hadithi, na kufundisha.

  1. Sherlock Steve (2012-02-10). "The Deaf Sherlock: RIP Chuck Baird". Thedeafsherlock.blogspot.com. Iliwekwa mnamo 2012-02-18.
  2. "Chuck Baird". Deafart.org. Iliwekwa mnamo 2012-02-18.
  3. Bauman, Dirksen (2008). Open your eyes: Deaf studies talking. University of Minnesota Press. ISBN 0-8166-4619-8.
  4. "What is Deaf Art?". Deafart.org. Iliwekwa mnamo 2012-02-18.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuck Baird kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.