Nenda kwa yaliyomo

Christopher Martin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Christopher Martin akitumbuiza kwenye Reggae Geel mwaka 2022.

Christopher Oteng Martin (alizaliwa tarehe 14 Februari mwaka 1987), ni mwimbaji na mwandishi wa nyimbo wa reggae na dancehall kutoka Jamaika. Martin alishinda shindano la Rising Stars la Digicel mwaka 2005. Anajulikana zaidi kwa nyimbo kama Cheaters Prayer, I'm a Big Deal, Let Her Go, Is It Love na Dreams of Brighter Days.[1][2][3]


  1. "PROFILE - Christopher Martin", The Jamaica Star, 2010-05-12. Retrieved on 2010-10-01. Archived from the original on 2014-07-15. 
  2. "Chris Martin tiles floors of boyhood school". jamaica-star.com (kwa Kiingereza). 2018-08-02. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Januari 16, 2024. Iliwekwa mnamo 2024-01-16.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Jackson, Kevin (2022-11-18). "Brazil for the win, says Chris Martin". Jamaica Observer (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Januari 16, 2024. Iliwekwa mnamo 2024-01-16.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christopher Martin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.