Christopher Jorebon Loeak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Christopher Jorebon Loeak (alizaliwa 11 Novemba 1952) ni mwanasiasa wa 'Marshall' ambaye alikuwa Raisi wa Visiwa vya Marshall kutoka 2012 hadi 2016. Alichaguliwa na bunge kama Raisi Januari 2012, kufuatia uchaguzi mkuu wa 2011. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Marshall Islands' Parliament Elects New National Leadership". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-24. Iliwekwa mnamo 2012-01-03.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christopher Jorebon Loeak kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.