Nenda kwa yaliyomo

Chrislain Matsima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Matsima mnamo 2021

Chrislain Iris Aurel Matsima (alizaliwa 15 Mei 2002)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Clermont inayoshiriki Ligue 1 akitokea AS Monaco kwa mkopo.[2]

  1. https://web.archive.org/web/20191227222540/https://www.fifadata.com/documents/FU17WC/2019/pdf/FU17WC_2019_Squadlists.pdf
  2. "Chrislain Matsima". FC Lorient (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chrislain Matsima kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.