Nenda kwa yaliyomo

Chris Marshall

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chris Marshall [1][2] (pia anajulikana kama Chris Marsh na Izes, jina la kweli: Adrian Marshall) ni mwimbaji wa reggae na dancehall, mtayarishaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Jamaika.

Anajulikana zaidi kwa kuandika pamoja nyimbo ya Temperature ya Sean Paul ambayo ilikua wimbo wa nambari moja kwenye Billboard Hot 100 mwaka 2006 na pia kuonekana kwenye albamu ya Anitta ya Kisses kwenye wimbo - Tu Y Yo.[3][4][5]

  1. "Chris Marshall steps into the spotlight". Jamaica Observer. Iliwekwa mnamo 2015-11-30.
  2. "Chris Marshall takes center stage". Jamaica Observer. Iliwekwa mnamo 2019-05-04.
  3. "CHRIS MARSHALL HITS 8.6 MILLION VIEWS WITH ANITTA WITH SENSUAL 'TU Y YO' SINGLE". one876entertainment.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-04. Iliwekwa mnamo 2019-05-03.
  4. https://www.youtube.com/watch?v=dW2MmuA1nI4 | Sean Paul - Temperature
  5. "Chris Marshall finds Spanglish hit". 3 Mei 2019. Iliwekwa mnamo 2019-05-03.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chris Marshall kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.