Chris Delvan Gwamna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Christopher Delvan Gwamna Ajiyat
Amezaliwa 12 december 1960
nigeria
Nchi nigeria
Majina mengine Christopher Delvan Gwamna Ajiyat
Kazi yake mchungaji kiongozi wa The New Life Pastoral Center (New Life Assembly),

Christopher Delvan Gwamna Ajiyat (alizaliwa 12 Desemba 1960) ni mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Nigeria, mtunzi wa nyimbo [1] na mchungaji kiongozi wa The New Life Pastoral Center (New Life Assembly), [2] yenye makao yake huko Kaduna, Nigeria. [3] [4] [5]

Maisha na elimu[hariri | hariri chanzo]

Gwamna alizaliwa Kagoro, Jimbo la Kaduna, Nigeria tarehe 12 Desemba 1960. Alihitimu Chuo Kikuu cha Ahmadu Bello katika miaka ya 1980 na shahada ya kwanza katika historia na sayansi ya siasa. Gwamna na mkewe, Anna (pia mchungaji), [5] walizaa watoto wawili, Joel na Salamatu. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. ALL MUSIC: CHRIS DELVAN GWAMNA (6 September 2020).
  2. Adefowokan (2019). PROMOTING INTERNATIONALISM? EXAMINATION OF THE (PDF). University of Northern British Columbia. Iliwekwa mnamo October 20, 2020.
  3. 3.0 3.1 Biography Of Chris Delvan (11 October 2016). Iliwekwa mnamo 6 September 2020.
  4. Day Pastor Chris bags Mentorship Award in Kaduna….Honour well deserved – Associates (26 April 2017). Iliwekwa mnamo 6 September 2020.
  5. 5.0 5.1 NIGERIA: PASTOR CHRIS DELVAN HONOURED BY IMCCN FOR HIS SACRIFICIAL LIFE. AFRICA PRIME NEWS (1 May 2017). Iliwekwa mnamo 6 September 2020.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chris Delvan Gwamna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.