Chloe Mustaki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mustaki akiwa na Bristol CIty mnamo 2022

Chloe Naomi Mustaki (alizaliwa 29 Julai 1995)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Eire ambaye anacheza kama mlinzi au kiungo wa Bristol City inayoshiriki Ligi kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL) [2]. Chloe ni mzaliwa wa Marekani, lakini alikulia Ufaransa na Eire, ni miongoni wa wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Jamhuri ya Ireland pia ana uraia wa Ufaransa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Wayback Machine". web.archive.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-08-04. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. The 42 Team (2022-07-08). "Chloe Mustaki joins Bristol City from Shelbourne". The 42 (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chloe Mustaki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.