Chituru Ali
Mandhari
Chituru Ali (matamshi ya Kiitalia: [ˈtʃiːtru ˈaːli]; alizaliwa Como, Italia, 6 Aprili 1999) ni mwanariadha nchini Italia ambaye hushiriki katika mbio za mita 100 alishinda medali ya fedha kwenye mashindano ya riadha ya Uropa mwaka 2024.[1]
Maisha binafsi
[hariri | hariri chanzo]Ali alizaliwa na baba wa Ghana na mama wa Nigeria. Aliwekwa katika familia ya kulea ya Mottin wa eneo hilo, na kukulia katika kata ya Albate.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chituru Ali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |